Mfumo wa kidijitali unaounganisha POS, Duka la Mtandaoni na Mtandao wa B2B — kwa usimamizi bora wa biashara.
Kingsalez ni mfumo wa kidijitali wa biashara unaounganisha usimamizi wa duka la ndani (POS) na duka la mtandaoni (Online Store) pamoja na mtandao wa biashara wa B2B.
Mfumo huu umebuniwa kusaidia wamiliki wa biashara kudhibiti mauzo, manunuzi, matumizi ya ofisi, na mauzo ya mtandaoni kwa kutumia mfumo mmoja uliounganishwa.
Private — unatumika na mmiliki na wauzaji wake.
Bidhaa za POS zinaonekana mtandaoni automatically.
Network ya maduka ndani ya Kingsalez.